Posts

Welcome!

THE CORPSE OF ANNA FLITZ

Image
Mwili wa Muigizaji Mrembo na maarufu, Anna Fritz, Ghafla unapatikana katika hotel akiwa amefariki, habari juu ya kifo chake zinasambaa duniani kote.  Pau ni kijana anayefanya kazi hospitali katika chumba cha kuhifadhia maiti, kazi inayompa fursa ya kutazama miili ya wanawake vijana inayoletwa katika chumba hicho cha kuhifadhi maiti cha hospitali hiyo. Siku moja anashangaa wakati mwili wa Anna Fritz, mwigizaji mzuri na wakuvutia, unawasili ili kuhifadhiwa katika hospital, hiyo. Pau baada ya kuupokea mwili wa Anna anavutiwa na mwili huo na kuamua kuupiga picha na kumtumia rafiki yake mmoja, Ivan, ambaye kwa haraka baada ya kuona picha hiyo anafika hospitalini hapo akiwa na Javi, rafiki yake mwingine.  Wote watatu wakiwa katika chumba cha kuhifadhia Maiti wakiutazama mwili wa Anna, Ivan anatafakari kuuliza kama inawezekana kubaka maiti na Pau anajibu kuwa lazima mate yatumike kama kilainishi. Alipoulizwa kama anajua hili kutokana na uzoefu wa zamani, Pau anakiri kuwa alibaka maiti ya msic